forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
451 B
Markdown
16 lines
451 B
Markdown
|
# maisha yako yalikuwa ya thamani machoni mwangu
|
||
|
|
||
|
"nimekuonesha kuwa ninakuheshimu"
|
||
|
|
||
|
# hivyo maisha yangu yathaminiwe sana machoni pa Bwana
|
||
|
|
||
|
"na Bwana ayathamini maisha yangu kama vile nilivyoyathamini maisha yako"
|
||
|
|
||
|
# Na ubarikiwe
|
||
|
|
||
|
"Na Bwana akubariki"
|
||
|
|
||
|
# mwanangu
|
||
|
|
||
|
Sauli hakuwa baba yake na Daudi. Sauli anazungumza kama vile alikuwa baba yake na Daudi kuonesha kuwa anataka Daudi amuamini na amtii kama vile Daudi anavyomuamini na kumtii baba yake.
|