sw_tn/1ki/12/10.md

12 lines
421 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kidole changu kidogo ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu
Maana yake ni kwamba Rehoboamu ni mkali na mwenye kuogofya kuliko baba yake.
# Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeredi, lakini mimi nitawaadhibu kwa nge
Hii inamaanisha kuwa adhabu ambayo Rehoboamu ataitoa ni mbaya kuliko alitoa baba yake.
# nitawaadhibu kwa nge
Neno "nge" linaweza kumaanisha 1)mjeredi wenye ncha za vyuma, au 2) kiumbe mwenye mkia wa sumu.