sw_tn/1ch/28/02.md

24 lines
546 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akainuka kwa miguu yake
"alisimama juu"
# kaka yangu na watu wangu
Mistari hii miwili inashiriki maana moja na kuweka mkazo kuwa Daudi na watu wa Israeli ni ndugu.
# sanduku la agano la Yahweh;stuli ya miguu kwa ajili ya Mungu wetu
Mstari wa pili unaelezea mstari wa kwanza. Yahweh mara nyingi inaelezea "sanduku la agano" kama "stuli yake ya miguu."
# hekalu kwa jina langu
"hekalu kwa ajili yangu"
# mwanaume wa vita na umemwaga damu
Maelezo yote yanahamasisha kitu kimoja , kwamba Daudi aliuwa watu.
# umemwaga damu
"aliuwa watu"