sw_tn/1ch/20/04.md

24 lines
409 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Gezeri ... Gobu
Haya ni majina ya miji
# Sibekai ... Sipai ... Elhanani ... Lahmi
Haya ni majina ya wanaume.
# Mhushathi ... Refaimu ... Mbethilehemu ... Mgiti
Haya ni majina ya makundi ya watu.
# wakazidiwa
kumtawala mtu au kitu kwa kutumia nguvu.
# gongo
mbao ndefu na nyembamba
# gongo la mshonaji
aina ya mbao inayo tumika kunyoosha mapindo wakati nyuzi za zuria zinashonwa pamoja kuzunguka.