sw_tn/isa/09/20.md

17 lines
735 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watanyakua chakula katika mkono wa kuume ... katika mkono wa kushoto
Msemo huu una maana ya kwamba watu watanyakua chakula popote watakapokikuta.
# Kila mmoja hata atakula nyama ya mkono wake mwenyewe
Maana zaweza kuwa 1) watu watakuwa na njaa sana hadi watataka kula au hatimaye watakula mikono yao wenyewe au 2) neno "mkono" ni sitiari kwa ajili ya jirani wa mtu.
# Katika vitu hivi vyote, hasira yake haipungui; badala yake, mkono wake
"Ingawa vitu hivi vyote vimetokea, bado ana hasira, na mkono wake"
# mkono wake bado unanyoshwa nje
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Isaya anazungumza kana kwamba Yahwe alikuwa mtu ambaye anataka kumpiga mtu mwingine kwa ngumi yake. Hii ni
2019-05-21 20:17:16 +00:00
sitiari kwa ajili ya Yahwe kuwaadhibu Israeli. "bado atakuwa tayari kuwaadhibu"