sw_tn/job/30/24.md

12 lines
591 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# je hapana mtu wa kufikisha mkono wake kuomba msaada wakati anapoanguka? Je mtu mwenye shida hawezi kuomba msaada?
1) "Niliwasaidia watu ambao walianguka wakati waliponiomba msaada . Niliwasaidia waliokuwa na taabu walipoomba msaada". au 2) "Nimeanguka na Mungu hapaswi kuona kama ninakosea ninapoomba msaada wake. Niko kwenye shida, naomba msaada!"
# Je sikulia...shida? Je sikusononeka...mtu?
"Unajua kwamba nililia ...shida, na nilisononeka ...mtu!"
# Nilisubiri mwanga ...giza likaja
Hapa "mwanga" unawakilisha baraka na kibali cha Mungu na "giza" linawakilisha shida na mateso.