sw_tn/isa/62/08.md

16 lines
679 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa mkono wake wa kuume na kwa mkono wa nguvu yake
Mkono wa kuume unawakilisha nguvu na mamlaka. "kwa nguvu na mamlaka yake"
# Hakika sitakupatia tena mazao kama chakula kwa ajili ya adui zako
Hii ina maana Yahwe hatawaruhusu adui zake kuwashinda watu wa IUsraeli na kuchukua mazao yao tena. Huenda maadui walichukua mazao kipindi cha nyuma kama ushuru au kulisha majeshi yao wenyewe.
# Sitakupatia tena mazao kama chakula kwa ajili ya adui zako ... Wageni hawatakunywa divai yako mpya
Kauli hizi zimewekwa pamoja kwa ajili ya msisitizo au ukamilifu.
# wale watakaovuna mazao ... wale wanaochuma mizabibu
Kauli hizi zinawekwa pamoja kwa ajili ya msisitizo na ukamilifu.