sw_tn/ezk/21/06.md

40 lines
906 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe ananena na Ezekieli.
# mwana wa adamu
"mwana wa mwanadamu"
# gumia kama kuvunjika kwa viuno vyako
Yahwe anamwambia Ezekieli kugugumia kama ishara ya kuusindikiza ujumbe wake. Anamwambia kugugumia kwa kina kana kwamba tumbo lake lilikuwa kwenye maumivu makubwa sana.
# Katika uchungu wa gumia
"Kwa huzuni kubwa"
# mbele ya macho yao
Hapa Waisraeli wanarejelewa kwa "macho" yao kusisitiza kile wakionacho. "mbele yao" au "mbele ya watu wa Israeli"
# ile habari inayokuja
Hii inazungumzia "habari" kana kwamba ilikuwa mtu ambaye alikuwa akija kwao punde.
# kwa kila moyo utakaozimia
Hii inazungumzia watu kuogopa kana kwamba mioyo yao ilikuwa ikizimia.
# utasita
"utakuwa dhaifu"
# Kila roho itazimia
Hii inazungumzia watu kuwa na hofu katika roho zao kana kwamba roho zao zilitaka kuzimia.
# kila goti litatiririka kama maji
"kila goti litakuwa dhaifu kama maji"