forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
738 B
Markdown
16 lines
738 B
Markdown
|
# Huu ndio utetezi wangu
|
||
|
|
||
|
Hapa inaweza kumaanisha 1) maneno yanayofuata ni maneno ya kujitetea kwa Paaulo au 2) maneno katika 9: 1 ni utetezi wa Paulo, " huu ndio utetezi... wangu ninafanya"
|
||
|
|
||
|
# Je hatuna haki ya kula na kunywa?
|
||
|
|
||
|
"Tuna haki kabisa kupokea chakula na kinywaji kutoka makanisani."
|
||
|
|
||
|
# Hatuna haki ya kuchukua mke aliye amini, kama wafanyavyo mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?
|
||
|
|
||
|
"Kama tuna wake walioamini, tuna haki ya kuwachukua pamoja nasi kama vile mitume wengine wanavyo wachukua wake zao, na ndugu katika Bwana, na kefa."
|
||
|
|
||
|
# Au ni mimi peke yangu na Barnaba ambao tunapaswa kufanya kazi?
|
||
|
|
||
|
Paulo anawatia aibu Wakorintho " Mnafikiri ya kwamba Barnaba na mimi ndiyo watu pekee tunaofanya kazi ili tupate pesa."
|