sw_tn/sng/06/13.md

12 lines
237 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Geuka nyuma, geuka nyuma
Hii imerudiwa kwa mkazo.
# kukushangaa
kuangalia kitu kwa umakini kwa muda
# kana kwamba nina cheza katika ya mistari miwili ya wachezaji
Ingekuwa kitu kizuri kuona mwanamke akicheza na wachezaji wengine.