sw_tn/psa/145/001.md

20 lines
501 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# zaburi ya kusifu ya Daudi
"Hii ni zaburi ya kusifu ambayo Daudi aliandika"
# Nitakutukuza wewe
"Nitawaambia watu jinsi ulivyo wa ajabu"
# Nitabariki jina lako
Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe. "jina lake tukufu libarikiwe", "ubarikiwe" au "fanya kinachokufurahisha"
# Nitalisifu jina lako
Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe. "nitakusifu" au "nitawaambia watu jinsi ulivyo mkuu"