forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
617 B
Markdown
24 lines
617 B
Markdown
|
# njia ya watu wenye haki ... njia ya waovu
|
||
|
|
||
|
"mwenendo wa watu wenye haki ...mwenendo wa waovu"
|
||
|
|
||
|
# njia ya watu wenye haki ni kama nuru ya awali ambayo huzidi kung'ara
|
||
|
|
||
|
"watu wenye haki hutembea kwenye njia yao kwa salama kwa kuwa jua la asubuhi huangaza juu yake na wanga hung'aa zaidi
|
||
|
|
||
|
# nuru ya awali
|
||
|
|
||
|
Hii ni mapambazuko au mawio
|
||
|
|
||
|
# hadi mchana mkamilifu
|
||
|
|
||
|
"mpaka jua ling'are kwa wangavu zaidi" au "hadi mchana haswa"
|
||
|
|
||
|
# njia ya waovu ni kama giza
|
||
|
|
||
|
"watu waovu hutembea kwenye hatari maana njia yao haina mwanga kuwawezesha kuona"
|
||
|
|
||
|
# hawajua ambapo hujikwaa
|
||
|
|
||
|
"hawajua kwa nini hukumbwa na madhara na bahati mbaya"
|