forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
688 B
Markdown
16 lines
688 B
Markdown
|
# Usisababishe hukumu ikawa ya uongo
|
||
|
|
||
|
Hii hasi ya maradufu imetumika kusisitiza. Inaweza kuelezwa katika nji chanya. : "Hukumu kwa haki siku zote"
|
||
|
|
||
|
# Usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni masikini na usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni mtu muhimu
|
||
|
|
||
|
Yale maneno "masikini" na "muhimu" ni mambo mawili yenye kukithiri, ambayo kwa pamoja humaanisha "yeyote." : "Haikupasi kuonyesha upendeleo kwa yeyote kwa msingi wa kiasi cha wingi wa fedha walizo nazo.
|
||
|
|
||
|
# amua juu ya jirani yako kwa haki
|
||
|
|
||
|
""mhukumu kila mmoja kwa kulingana na haki"
|
||
|
|
||
|
# Usiende huku na huko ukisema habari za uchochezi
|
||
|
|
||
|
"Usiende huku na huko kwa watu wengine huku ukisengenya"
|