sw_tn/lam/03/12.md

20 lines
403 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amepindisha upinde wake
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:3
# maini
viungo vya tumbo linalo peleka mkojo kwenye kibofu.
# kichekesho kwa watu wangu wote
Maana inayo wezekana ni 1) "mtu ambaye Israeli yote yamcheka" au 2) "mtu ambaye watu wote wa dunia wanamcheka"
# Amenijaza kwa uchungu
"Ni kama kanilazimisha nile mimea michungu"
# maji machungu
jwisi chungu kutoka kwenye majani na maua ya mimea