sw_tn/ezk/13/20.md

28 lines
696 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana Yahwe asema hivi
Tazama tafsiri yake katika 5:5.
# hirizi
vitu ambavyo vinavyoaminika vina nguvu ya muujiza
# kukamata
"kukamata"
# kuyakamata kwa hila maisha ya watu kana kwamba wamekuwa ndege ... watu ambao umewakamata kama ndege
Yahwe analinganisha mapambo ya unabii kukamata kwa ajili ya ndege.
# nitazichana kutoka kwenye mikono yenu
Neno "mikono" inarejea inakuja kutawaliwa na unabii. Waongo watatumia utawala wa watu wa Israeli ni kama mikono ambayo imewakamata kurudi kutokana na kukimbia.
# havitakamatwa tena katika mikono wako
Kusema hawatakamatwa ni sawa kama kusema watakuwa huru.
# kujua kwamba mimi ndimi Yahwe
"kujua kwamba mimi ndimi Yahwe, Mungu wa kweli"