sw_tn/ezk/13/08.md

32 lines
814 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe ananena na watu wa Israeli na kurudia maneno katika njia tofauti tofauti kueleza jinsi walivyo wakweli.
# mmekuwa na maono ya uongo na kuwaambia uongo
"mmedanganya kuhusu kuwa na jumbe kutoka kwa Mungu"
# Tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 5:11.
# Mkono wangu utakuwa juu ya manabii
Neno "mkono" mara nyingi limetumika katika njia tafauti tofauti kwa uweza wa Yahwe.
# mliodanganya maono na wale waliofanya unabii wa uongo
"aliye na jumbe kutoka kwa Mungu lakini anadanganya"
# katika kusanyiko la watu wangu, au kuandikishwa katika kumbukumbu ya nyumba ya Israeli
"walio orodheshwa kama watu wangu" Hii ni njia mbili kueleza jambo moja."
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika 3:1.
# mtajua yakwamba mimi ndimi Bwana Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.