sw_tn/deu/33/05.md

24 lines
491 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi.
# Taarifa ya Jumla:
Mstari wa 5 ni mgumu kuelewa.
# pakawa na mfalme
"Yahwe akawa mfalme"
# Yeshurumu
Hili ni jina lingine la Israeli.
# Ruhusu Rubeni aishi
Hii inaanza baraka za Musa kwa kabila binafsi za Israeli.
# lakini wanaume wake wawe wachache
Maana zingine zaweza kuwa 1) "na wanamume wake wawe wachache" au 2) "hata kama wanamume wake ni wachache"