sw_tn/1sa/06/14.md

16 lines
557 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kulikuapo jiwe kubwa mahali hapo
Jiwe hili ndilo jiwe lililotumika kama madhabahu walipotoa sadaka ya ng'ombe kama dhabihu.
# Walawi walilitelemsha chini sanduku la Bwana
Hii ilitokea baada ya kutayarisha kuni zilizotokana na mkokoteni na kutengeneza moto uliotumika kutolea sadaka ya ng'ombe kwa Bwana.
# Walawi walilitelemsha chini sanduku
Kutokana na sheria za Musa Walawi tuu ndio walioruhusiwa kulishughulikia sanduku.
# pamoja na kasha lake lililoyatunza yale maumbo ya dhahabu,
"kasha ambalo maumbo ya dhahabu ya panya na majipu yalikuwepo"