forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Mifano
|
||
|
|
||
|
Mifano ni kitu kinachofanana na kitu fulani.
|
||
|
|
||
|
# Majipu
|
||
|
|
||
|
Ni ugonjwa wa ngozi.
|
||
|
|
||
|
# Panya
|
||
|
|
||
|
Hapa anaelezea panya zaidi ya mmoja.
|
||
|
|
||
|
# ambayo huiharibu
|
||
|
|
||
|
"ambayo huangamiza"
|
||
|
|
||
|
# Mungu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.
|
||
|
|
||
|
# ataondoa mkono wake kutoka juu yenu, kutoka juu ya miungu yenu, na kutoka juu ya nchi yenu.
|
||
|
|
||
|
ataondoa mkono wake kutoka juu yenu, kutoka juu ya miungu yenu, na kutoka juu ya nchi yenu. "ataacha kuwaadhibu ninyi na miungu yenu na nchi yenu."
|
||
|
|
||
|
# Kwanini mfanye mioyo yenu kwa migumu, kama vile Wamisri na Farao walifanya mioyo yao kuwa migumu?
|
||
|
|
||
|
Makuhani na waganya wanatumia swali ili kuwafanya Wafilisti wafikirie kwa makini juu ya kile kitakachowapata ikiwa watakataa kumtii Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Kuifanya mioyo yenu kuwa migumu.
|
||
|
|
||
|
"kuacha kumtii Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Je, Wamisri hawakuwaachilia watu, na wakaondoka?
|
||
|
|
||
|
Hili swali limetumika kuwakumbusha Wafilisti kuwa Wamisri waliwaruhusu Waisraeli watoke Misri ili Mungu aache kuwaadhibu Wamisri.
|