sw_tn/1ch/04/09.md

16 lines
383 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yabesi
Hili ni jina la mwanaume.
# ongeza mipaka yangu
"nipe mimi eneo zaid"
# mkono wako ukuwa juu yangu
Baadhi ya maana ni kwamba mkono wa Mungu wa wakilisha 1) muongozo wake, 2) nguvu zake, au 3) ulinzi wake. "nilinde mimi" au "nifanye ni fanikiwe" au "nilinde." Pia yaweza tafsiriwa kwa ujumla kama "kuwa na mimi."
# akamjalia maombi yake
"akafanya sawa na maombi yake"