sw_tn/1ch/01/43.md

16 lines
291 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bela ... Beori ... Yobabu .. Zera .. Hushamu
Haya ni majina ya watu.
# Dinhaba ... Bozra
Haya ni majina ya sehemu
# Hushamu wa nchi ya Watemani akatawala badala yake
'Hushamu, kutoka nchi ambayo uzao wa Temani waishi, alitawala baada yake."
# Watemani
Hili ni jina la kundi la watu