forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
1017 B
Markdown
20 lines
1017 B
Markdown
|
# Kwa kuwa upendo wako usio koma ni mkuu, unafika mbinguni ... uaminifu wako hadi mawinguni
|
||
|
|
||
|
Misemo hii miwili inamaana ya kukaribiana. Ukuu wa upendo wa Mungu usio koma na ukuu wa uaminifu wake zinazungumziwa kana kwamba zinaweza kupimwa kwa umbali.
|
||
|
|
||
|
# Kwa kuwa upendo wako usio shindwa ni mkuu, unafika mbinguni
|
||
|
|
||
|
Ukku wa upendo usio shindwa wa Mungu unazungumziwa kana kwamba unaweza kupimwa kwa umbali. "Upendo wako usio shindwa ni mkuu kama umbali wa kutoka duniani hadi mbinguni"
|
||
|
|
||
|
# na uaminifu wako hadi mawinguni
|
||
|
|
||
|
"na uamonifu wako ni mkuu, unafika mawinguni" au "na uaminifu wako ni mkuu kama umbali wa kutoka duniani hadi mawinguni"
|
||
|
|
||
|
# Utukuzwe, Mungu, juu ya mbingu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamwomba Mungu kuonesha kuwa ameinuliwa. Kuinuliwa juu ya mbingu inawakilisha kuwa mkuu. "Mungu, onesha kuwa umeinuliwa juu ya mbingu" au "Mungu, onesha kuwa wewe ni mkuu katika mbingu"
|
||
|
|
||
|
# utukufu wako uinuliwe juu ya dunia wote
|
||
|
|
||
|
Mwandishi wa zaburi anamwomba Mungu kuonesha utukufu wake. "onesha utukufu wako juu ya dunia yote"
|