forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
739 B
Markdown
16 lines
739 B
Markdown
|
# Jukumu la kutimiza nadhiri zangu kwako liko juu yangu
|
||
|
|
||
|
Kuwajibika kufanya kitu inazungumziwa kana kwamba jukumu lakufanya kitu liko juu yamtu. "Lazima nitimize nadhiri zangu kwako" au "Lazima nifanye nilichoahidi kwako kufanya"
|
||
|
|
||
|
# umiitunza miguu yangu na kuanguka
|
||
|
|
||
|
Hapa miguu inamwakilisha mtu. Kuanguka hapa inaweza kuwakilisha kuuwawa na adui zake. "umenepusha na kuanguka" au "umeniepusha na kuuwawa na adui zangu"
|
||
|
|
||
|
# ili kwamba nitembee mbele za Mungu
|
||
|
|
||
|
Kuishi na kuonwa na Mungu inazungumziwa kama kutembea mbele ya Mungu. "ili kwamba niishi mbele ya uwepo wa Mungu"
|
||
|
|
||
|
# katika nuru ya walio hai
|
||
|
|
||
|
Hapa "nuru ya walio hai" inaweza kuwa inawakilisha Mungu kuwawezesha watu kuishi. "na uhai unaotoa" au "kwa sababu unaniwezesha kuishi"
|