sw_tn/psa/052/004.md

20 lines
853 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno yanayomeza wengine
Hapa maneno yanayowadhuru wengine yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa wanyama wanayo wameza watu. "maneno yanadhuru wengine"
# wewe ulimu wa uongo
Hii inamaanisha mtu ambaye mwandishi anazungumza naye. "wewe msemaji wa uongo" au "wewe muongo"
# atakuchukua juu ... kukunyofoa ... kukung'oa
Misemo hii yote mitatu ni njia tofauti ya kusema "kukutoa"
# kukung'oa katika nchi ya walio hai
Kuwa hai duniani inazungumziwa kana kwamba watu ni mimea yenye mizizi ardhini. Mungu kumuua mtu inazungumziwa kama kuchimba mizizi ya mmea na kuitoa ardhini. "atakutoa katika nchi ya walio hai" au "Atakuua ili usiwepo tena dunia pamoja na watu waishio"
# Sela
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.