sw_tn/psa/018/043.md

16 lines
426 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mabishano
"kutokuelewana"
# umenifanya kichwa juu ya mataifa
Hapa "kichwa" kinamaanisha mtawala. "umeniweka mimi kuwa mtawala juu ya mataifa
# wageni walilazimika kusujudu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu aliwalazimisha wageni kusujudu"
# wageni walikuja wakitetemeka
hapa "kutetemeka" inaonesha kuwa walikuwa wanaogopa sana. "wageni walikuja wakitetemeka, wakionesha kuwa walikuwa wanaogopa sana"