sw_tn/psa/018/006.md

12 lines
399 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika huzuni yangu
"katika hitaji langu kubwa" au "katika kukata tamaa kwangu"
# kilio changu kikaenda katika uwepo wake
Hapa Daudi anazungumzia "kilio" chake kana kwamba ni mtu anayeweza kuja katika uwepo wa Yahwe. "Nikamuomba"
# kikaenda katika maskio yake
Hapa Daudi anazungumzia jinsi Yahwe alivyosikia kilio chake cha msaada. Wazo linarudiwa kwa ajili ya mkazo. "akasikia maombi yangu"