sw_tn/num/09/13.md

36 lines
745 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu yeyote asiye najisi
Mtu ambaye anakubalika kwa Mungu kiroho ni yule ambaye anaonekana kuwa kimwili ni msafi
# kuishika Pasaka
Tazama 9:4
# huyo mtu lazima aondolewe
Neno "kuondolewa" linamaanisha kukatiliwa mbali.
# uliopangwa
ulioamriwa
# Huyo mtu lazima abebe dhambi yake
"Mtuhuyo lazima abebe adhabu ya dhambi yake"
# anayeishi kati yenu
kiwakilishi cha "yenu" kinamaanisha watu wa Israeli
# ataishika na kufuata amri zote
"huyo mgeni ataishika na kufuata yote ambayo BWANA ameamuru"
# ataishika na kufuata amri zote , na kufuata taratibu zake
Virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile, vimetumika kutia msisitzo wa kwamba huyo mgeni atazitii sheria zote na kuishika Pasaka.
# katika nchi
"katika nchi ya Israeli"