sw_tn/lev/23/12.md

20 lines
421 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.
# sehemu mbili za kumi ya efa
Efa moja ni sawasawa na lita 22. "lita nne na nusu"
# Moja ya nne ya hini
Hini moja ni sawasawa na lita 3.7. : "lita moja"
# wala nafaka iliyokaangwa au nafaka mpya
wala nafaka iliyopikwa au isiyopikwa
# Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu
Tazama lilivyofafanuliwa katika 3:15