sw_tn/isa/40/01.md

28 lines
1006 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Fariji, fariji
Neno "fariji" linarudwa kwa ajili ya msisitizo
# asema Mungu wako
Hapa "wako" ni wingi na ina maana ya wale ambao nabii anawaambia kufariji watu wa Mungu.
# Zungumza kwa upole kwa Yerusalemu
Nabii anazungumzia Yerusalemu kana kwamba ilikuwa mwanamke ambaye Yahwe alimsamehe. Kwa hiyo, Yerusalemu inawakilisha watu wanaoishi katika mji huo. Zungumza kwa upole kwa watu wa Yerusalemu"
# tamka kwake ...ustawi wake ... udhalimu wake amepokea ... dhambi zake
Viwakilishi nomino vina maana ya Yerusalemu lakini inaweza kubadilishwa kama "watu wa Yerusalemu" inaazimwa kama tafsiri. "tangaza kwao ... ustawi wao ... udhalimu wao ... wamepokea ... dhambi zao"
# ustawi wake
Maana zaweza kuwa ya kwamba neno "ustawi" lina maana ya 1) kwa vita ya kijeshi au 2) kwa kazi ya kulazimishwa.
# udhalimu wake umesamehewa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe amesamehe udhalimu wake"
# kutoka mkononi mwa Yahwe
Hapa neno "mkono" inawakilisha Yahwe mwenyewe. "kutoka kwa Yahwe"