sw_tn/zec/10/11.md

21 lines
564 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitapita katika bahari ya mateso yao
Maandiko mara nyingi urejerea bahari kama picha ya shida na magumu mengi.
# na nitavikausha vilindi vyote vya Nile
"Nitaufanya Mto Nile kukauka"
# Utukufu wa Ashuru utashushwa chini
Hapa "utukufu wa Ashuru" pengine unamaanisha jeshi la Ashuru.
# na fimbo ya Misri itakwenda mbali kutoka kwa Wamisri
"na nguvu ya Misri kutawala mataifa mengine itakwisha."
# hili ni tamko la Yahwe wa majeshi
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.