sw_tn/zec/03/01.md

17 lines
409 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anamwonesha ono Zakaria
# Je! hiki si kinga kilichotolewa motoni?
"Yoshua ni kama ukuni uliotolewa motoni"
# kinga kilichotolewa motoni
Kinga ni kipande cha ukuni uwakao kinachotolewa motoni kabla hakijaisha. Hii inamrejerea Yoshua, aliyeokolewa kutoka mateka ya Babeli na kurudi Yerusalemu.
# mavazi machafu
katika ono hili mavazi yanatumika kama alama ya kuonesha dhambi.