sw_tn/zec/02/03.md

21 lines
636 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# malaika mwingine akaenda kukutana naye
Huyu ni malaika mwingine ambaye hajawai kutokea hapo mwanzo, na hivyo anatambulishwa kama mshiriki mwingine.
# Malaika wa pili akamwambia, "Nenda uongee na mtu yule
Malaika mwingine alimwambia malaika aliyekuwa ameongea na Zakaria, "Nenda haraka uongee na mtu mwenye kipimo"
# Yerusalemu inakaa katika nchi wazi
Kifungu hiki kinamaanisha kwamba Yerusalemu haitazungukwa na kuta.
# kuwa kwake ukuta wa moto kumzunguka
Yahwe anasema atailinda Yerusalemu na kulinganisha ulinzi wake na ukuta wa moto.
# Hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki wakati mwingine kinatafasiriwa kama asema Yahwe.