forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
528 B
Markdown
17 lines
528 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
kuzingatia zaidi kusifu na kuabudu na jambo la kawaida hekaluni.
|
||
|
|
||
|
# Msifuni Mungu katika mahali pake patakatifu
|
||
|
|
||
|
Hekalu la Mungu lilikuwa likijulikana zaida kama sehemu yake takatifu. Hii ilikuwa sehemu iliyotumika zaida kwenda kumwabudu Mungu.
|
||
|
|
||
|
# matendo yake makuu
|
||
|
|
||
|
"mambo makubwa aliyotenda." "Matendo makubwa" ya Mungu yanaweza kumaanisha 1) ya asili kama radi na matetemeko au 2) miujiza kama uponyaji na ushindi mkubwa vitani.
|
||
|
|