sw_tn/psa/149/006.md

13 lines
429 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sifa za Mungu ziwe kwenye midomo yao
Mdomo ni njianyingine ya kusema mtu mzima. "Daima wawe tayari kumsifu Mungu"
# upanga wenye makali mawili mkononi mwao
upanga wenye makali mkononi mwao ** - Neno "upanga" ni njia nyingine ya kusema kuwa tayari kupigana vitani. "wawe tayari wakati wote kwenda vitani kwa ajili yake"
# mataifa
Msemo "mataifa" ni njia nyingine ya kusema watu wanaoishi katika mataifa. "watu wa mataifa"