sw_tn/psa/139/011.md

9 lines
226 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama ningesema, "Hakika giza litanifunika
Mwandishi wa zaburi anazungumzia usiku kana kwamba ni blangeti inayoweza kumfunika.
# Usiku utang'aa kama mchana
Usiku, ambao ni giza, unazungumziwa kana kwamba unang'aa mwanga.