sw_tn/psa/119/175.md

13 lines
348 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amri zako za agano zinisaidie
Mwandishi anazungimzia amri za Yahwe kana kwamba ni mtu anayeweza kumsaidia. "naomba nisikilize amri zako za haki ili niwe na hekima na thabiti"
# Nimezurura kama kondoo aliyepotea
"nimeacha njia yako kama kondoo aliyeacha kundi lake"
# mtafute mtumishi wako
"kwa sababu mimi ni mtumishi wako, njoo unitafute"