forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
609 B
Markdown
17 lines
609 B
Markdown
|
# Wafu
|
||
|
|
||
|
Kivumishi "wafu" kinaweza kutafsiriwa na msemo wa nomino. "Watu waliokufa"
|
||
|
|
||
|
# wala yeyote anayeenda chini palipo nyamaza
|
||
|
|
||
|
Msemo huu wa usambamba unamaana sawa na msemo uliopita. Kitenzi kinaweza kuwekwa kutoka kwenye msemo uliopita kuweka maana yake wazi. "wala yeyote aendaye chini palipo nyamaza kumsifu Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# wala yeyote anayeenda chini kunyamaza
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumzia kaburi au sehemu ya wafu kama sehemu iliyo nyamaza ambapo hakuna awezaye kuzungumza. Hii ni tasifida ya kifo. "wala yeyote anayeenda sehemu ya wafu"
|
||
|
|
||
|
# Lakini sisi
|
||
|
|
||
|
Neno "sisi" linamaanisha watu wa Israeli walio hai bado.
|
||
|
|