forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
301 B
Markdown
9 lines
301 B
Markdown
|
# Ni nani kama Yahwe Mungu wetu ... duniani?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anauliza swali kusisitiza kuwa hakuna mtu kama Yahwe. Hili swali la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hakuna kama Yahwe Mungu wetu ... duniani."
|
||
|
|
||
|
# aliye na kiti chake juu
|
||
|
|
||
|
"aliyesimikwa juu" au "anayetawala katika nafasi ya juu zaidi"
|
||
|
|