sw_tn/psa/110/001.md

17 lines
563 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# Keti mkono wangu wa kuume
Msemo "mkono wangu wa kuume" unamaanisha sehemu ya heshima. "Keti sehemu ya heshima niliyokuandalia"
# niwaweke adui zako chini ya miguu yako
Hapa Dauddi anamuelezea Yahwe kuwaweka adui wa bwana wake chini ya uwezo na mamlaka yake kama kuwaweka chini ya miguu yake. "umewaweka adui zako chini ya uwezo wako"