sw_tn/psa/098/001.md

33 lines
939 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# wimbo mpya
wimbo ambao hakuna mtu amewahi kuimba.
# mkono wake wa kuume na mkono wake mtakatifu umempa
Maneno "mkono wake wa kuume" na "mkono wake mtakatifu" zinamaanisha nguvu ya Yahwe. Pamoja zinasisitiza ukuu wa nguvu yake ulivyo. "uwezo wake mkuu sana umempa"
# mkono wake wa kuume
mkono wenye nguvu na ujuzi zaidi
# mkono wake mtakatifu
Hapa "mkono" ni sitiari ya uwezo. "uwezo ulio wake pekee"
# umempa ushindi
Maana zinazowezekana ni 1) "kumwezesha kuwashinda adui zake" au 2) "kumwezesha kuwaokoa watu wake"
# amefanya wokovu wake kujulikana
Nomini dhahania "wokovu" inaweza kutafsiriwa kwa kutumia kitenzi "oka." "amewaonesha watu kuwa huokoa watu wake"
# ameonesha haki yake kwa mataifa yote
Neno "mataifa" ni njia nyingine ya kusema watu wanaoishi katika mataifa yote. "amewaonesha watu wanaoishi katika mataifa yote kuwa yeye ni wa haki"