sw_tn/psa/096/007.md

17 lines
428 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mpeni Yahwe sifa ... mpeni Yahwe kwa utukufu wake na nguvu
"Msifuni Yahwe ... msifuni Yahwe kwa kuwa anautukufu na nguvu."
# Mpeni Yahwe utukufu ambao jina lake linastahili
"Mpeni heshima Yahwe kama jina lake linavyostahili" au "Tangaza kuwa Yahwe ni mtukufu kama jina lake linavyostahili."
# jina lake
"jina" linamaanisha Mungu. "yeye"
# nyua zake
baraza la hekalu ambapo makuhani walitoa sadaka ya wanyama kwa Yahwe