sw_tn/psa/091/010.md

17 lines
475 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hakuna uovu utakaokupita
"Hakuna kitu kiovu kitakachotokea kwako"
# hakuna mateso yatakayo kuja karibu na nyumba yako
Mwandishi anawazungumzia watu wanaowatesa wengine kana kwamba walikuwa ndio madhara waliyoyasababisha. "hakuna mtu atakayeweza kudhuru familia yako"
# Kwa kuwa atawaongoza
"Yahwe ataamuru"
# katika njia zako zote
Mwandishi anazungumzia jinsi mtu anavyoishi kana kwamba ni njia ambayo mtu alitembea. "katika kila kitu unachofanya" au "wakati wote'