sw_tn/psa/090/009.md

25 lines
415 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maisha yetu yanapita chini ya gadhabu yako
"Maisha yetu yanafika mwisho kwa sababu ya gadhabu yako"
# kama kite
Mwandishi anafananisha maisha ya mtu na kite kusisitiza kuwa maisha ni mafupi sana.
# sabini
"70"
# themanini
"80"
# hata miaka yetu mizuri yana alama ya taabu na huzuni
"Hata katika miaka yetu mizuri tunapitia taabu na huzuni"
# tunapaa
Hii ni njia ya ustaarabu ya kusema watu wanaokufa.