sw_tn/psa/089/030.md

13 lines
351 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watoto wake
"uzao wa Daudi"
# nitaadhibu uasi wao kwa fimbo
Mungu kuadhibu uzao wa Daudi inazungumziwa kana kwamba atawapiga kwa fimbo. "nitawaadhibu kwa kuasi dhidi yangu"
# na udhalimu wao kwa mapigo
Mungu kuadhibu uzao wa Daudi inazungumziwa kana kwamba Mungu atawapiga kiuhalisia. "na nitawaadhibu kwa sababu wametenda dhambi dhidi yangu"