forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
632 B
Markdown
17 lines
632 B
Markdown
|
# Kwa kuwa tumeyeyuka kwenye mavumbi; miili yetu inang'ang'ania nchini
|
||
|
|
||
|
Misemo hii ya usambamba ina maana za kufanana. Mwandishi anaelezea watu wake kama wamelala ardhini katika mkao wa kushindwa na kudhalilishwa.
|
||
|
|
||
|
# Kwa kuwa tumeyeyuka kwenye mavumbi
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumzia kudhalilishwa kwao kana kwamba miili yao ni vitu, kama barafu, inayoyeyuka na kulowa kwenye mchanga.
|
||
|
|
||
|
# miili yetu inang'ang'ania nchini
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumzia kudhalilishwa kwao kana kwamba miili yao ilikuwa imekwama kwenye ardhi na hawakuweza kujinyanyua juu.
|
||
|
|
||
|
# inuka
|
||
|
|
||
|
Hii ni amri ya kusimama. Msemo huu unamaanisha kuanza kutenda kitu. "Tenda jambo"
|
||
|
|