sw_tn/psa/044/003.md

25 lines
713 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa upanga wao wenyewe
Neno "upanga" linamaanisha nguvu ya kijeshi. "kwa kupigana na panga zao" au "kwa nguvu ya jeshi lao wenyewe"
# mkono wao wenyewe
Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu. "nguvu yao wenyewe"
# na nuru ya uso wako
"na nuru ya uso wako uliwapatia nchi kuwa mali yao"
# mkono wako wa kuume, mkono wako
Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu ya Mungu. Kwa pamoja zinaweka mkazo kwa ukuu wa nguvu ya Mungu. "nguvu yako kuu"
# nuru ya uso wako
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwaangalia kwa fadhila na kuwa na huruma kwao kana kwamba ni uso wa Yahwe ulitoa nuru kwa ajili yao. "huruma yako" au "fadhila zako"
# ushindi kwa Yakobo
Watu wa Israeli wanajulikana kwa jina la babu yao "Yakobo"