forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
604 B
Markdown
17 lines
604 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# Zaburi ya Daudi
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
||
|
|
||
|
# Usikasirike kwa sababu ya watenda maovu
|
||
|
|
||
|
"Usiwaruhusu watu waovu wakukasirishe" au "Usisumbuliwe na kile ambacho watu waovu wanafanya"
|
||
|
|
||
|
# watakauka kama nyasi ... kunyauka kama mimea ya kijani
|
||
|
|
||
|
Watenda maovu wanazungumziwa kana kwamba ni nyazi na mimea iliyokauka na inakufa katika hali ya hewa ya joto. Mifanano hii miwiliyote inamaana kuwa watakufa. "kufa" au "kufika mwisho"
|
||
|
|