forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
642 B
Markdown
17 lines
642 B
Markdown
|
# Kuna faida gani ... kuwa msaidizi wangu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kama nukuuya moja kwa moja.
|
||
|
|
||
|
# Kuna faida gani katika kifo changu, kama nikienda kaburini?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza kuwa hatakuwa wa faida kwa Mungu kama akifa. "Hakuna faida katika kufa kwangu na kwenda chini kaburini"
|
||
|
|
||
|
# Je, mavumbi yatakusifu? Yatatangaza uaminifu wako?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia maswali haya kusisitiza kuwa mwili wake uliokufa na kuoza hauwezi kumsifu Mungu. "Mavumbi yangu hakika hayatakusifu au kuwaambia watu jinsi ulivyo mwaminifu"
|
||
|
|
||
|
# mavumbi
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha mwili wa mwandishi utakaooza na kuwa mavumbi atakapokufa. "mwili wangu uliooza"
|
||
|
|