forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.1 KiB
Markdown
29 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Kuweka
|
||
|
|
||
|
Hii ni lahaja. Hii haimaanishi kuwa Mungu amesahau kitu. Mwandishi anamuomba kufikiria na kuzingatia matendo yake ya huruma na uaminifu. "Kumbuka" au "Fikiria kuhusu"
|
||
|
|
||
|
# matendo yako ya huruma na uaminifu wako wa agano
|
||
|
|
||
|
Nomino dhahania za "huruma" na "uaminifu" zinaweza kuelezwa kama vivumishi. "jinsi ulivyokuwa na huruma na mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako"
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa wamekuwepo daima
|
||
|
|
||
|
Hapa zinazozungumziwa ni huruma na uaminifu wa Mungu. "kwa kuwa hivyo ndivyo ulivyokuwa daima"
|
||
|
|
||
|
# Usiwaze kuhusu dhambi za ujana wangu
|
||
|
|
||
|
Nomino dhahania ya "dhambi" inaweza kuelezwa kama "kutenda dhami." "Usiwaze jinsi nilivyotenda dhambi dhidi yako nilipokuwa mdogo"
|
||
|
|
||
|
# au ukaidi wangu
|
||
|
|
||
|
Nomino dhahania ya "ukaidi" unaweza kuelezwa kama "kukaida." "au kusuhu jinsi nilivyokaidi dhidi yako"
|
||
|
|
||
|
# Weka akilini
|
||
|
|
||
|
Hii ni lahaja. Hii haimaanishi kuwa Mungu amesahau kitu. Hii haimaanishi kuwa Mungu alisahau kitu. Mwandishi anamwomba Mungu kumwaza. "Nikumbuke" au "Nifikirie"
|
||
|
|
||
|
# na uaminifu wa agano kwa sababu ya wema wako
|
||
|
|
||
|
Nomino dhahnia za "uaminifu" na "wema" zinaweza kuelezwa kama vitenzi. "na uwe mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako, kwa kuwa u mwema"
|
||
|
|