sw_tn/psa/022/028.md

25 lines
840 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa ufalme ni wa Yahwe
Hapa "ufalme" unaashiria utawala wa Mungu kama mfalme. "Kwa kuwa Yahwe ni mfalme"
# yeye ni mtawala juu ya mataifa
Hapa "mataifa" yanaashiria watu wa mataifa. "anawatawala watu wa mataifa"
# wata kuwa na karamu
Watu watakula pamoja kwenye karamu. "watakula pamoja" au "watakula chakula cha sherehe pamoja"
# wale wote wanaoenda chini kwenye vumbi ... wale ambao hawawezi kuhifadhi maisha yao wenyewe
Misemo hii miwili inaashiria kundi moja. Zote zinamaanisha watu wote kwa kuwa watu wote watakufa.
# wale wote wanaoshuka kwenye vumbi
Hapa "vumbi" linamaanisha kaburi. Msemo "wanaoshuka kwenye vumbi" ni njia ya kusema mtu anakufa. "wale wanaokufa" au "wale waliokufa"
# wale ambao hawawezi kuhifadhi maisha yao wenyewe
"wale ambao hawawezi kuokoa maisha yao" au "wale ambao hawawezi kujizuia kufa"